karibu kwenye uwanja wa mapambano Ila usichague kazi coz wenzako tunaficha vyeti siku iziMwishoni mwa mwezi huu nahitimu mafunzo ya Kilimo Kwa Ngazi Ya Diploma,
Naomba popote itakapopatikana kazi tuwasiliane kwa namba 0759891571
Pia, Nina Uzoefu, Kwa Kuwa Nimefanya Field Ktk Wilaya Ya Makete, Tarafa Ya Matamba. Kwa Hyo Ktk Crops Pamoja Na Livestock Ninauwezo Mzuri Wa Kufanya Kazi.