Nahitaji Website Designer

Nahitaji Website Designer

conrym.conrym

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
99
Reaction score
7
Habari wakuu,

Naihitaji Web designer, Mwenye Uzoefu Joomla, PHP, WordPress etc..

Please Naomba Unipigie Simu 0682 134 488

Aksante
 
Nadhani unatafuta web developer.
 
nipo tayari kufanya kazi hata kwa kujitolea,lengo langu ni kuongeza ujuzi katika fani yangu.nina diploma ya computer science na pia ninaendelea na degree ya information systems and management,ninajua kutengeneza website kwa kutumia joomla,HTML pamoja wordpress.kwa mawasiliano zaidi 0766866683 asante
 
Back
Top Bottom