Chief Scout
Member
- Aug 27, 2013
- 47
- 17
Natafuta mtaalamu wa kutengeneza website au blog (interactive) kwa ajili ya vijana wa skauti. Pia nahitaji mjanja wa kuanzisha topic wiki-pedia (nilijaribu kuanzisha wakanistukia nafanya promo). Pia natafuta graphic designer (kazi ni kuondoa background kwenye picha). Kazi kwenu wataalamu. Shukrani kwa watakaokuwa tayari.