aimi lyatuu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 755
- 834
Wakuu amani iwe kwenu!
Nielekee kwenye hoja yangu ndugu zangu. Jana asubuhi wakati nafungua ofisi yangu niliona pochi ya kike karibu na ofisi Nilishtuka kidogo labda kaisahau mdada ama mtego labda ndani ina mihadarati ama. Niliichukua na kuikagua ndani kulikuwa na kadi ya benk (NMB Tanzanite), kadi ya mwendo kasi, passport za watu watatu na salary slip majina nayahifadhi kwa usalama wangu.
Ombi kwenu wanajukwaa ni namna ya kumpatia mwenye pochi yake bila kupata msukosuko. Nawaza nipeleke polisi pochi. Je, wakinikamata kwa madai aliyeibiwa aliuwawa nishirikiane na police kwenye uchunguzi (mimi ni baba mpya hata mwaka sijafika).
Je, nichukue namba ambazo zipo kwenye salary slip niwapigie lakini binadamu kiumbe cha hovyo anaweza kunihusisha moja kwa moja kwenye matatizo yaliyompata ama nikaushe tu.
Msaada wakuu!