Nahitaji waya wa fensi/uzio

Nahitaji waya wa fensi/uzio

Nawakaribisha nyote mnaohitaji details mbalimbali kuhusiana na ujenzi wa nyumba za Makazi (Residential Houses)... Details hizi zitahusisha mambo yafuatayo...
1. Pre Construction
2. Construction
3. Post Construction
4. Maintanance and Repair
5. Renovation
Natumia saa nyingine kiingereza sio kwa kuwa napenda bali ni terms ambazo najikuta nakosa Kiswahili chake...


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom