Hero Radio
Member
- Jun 30, 2021
- 89
- 116
Habari wakuu!
Suala ni hili wakuu,
Nina online radio ambayo inasikilizwa kwa kiasi hapa nchini na zaidi ni nchi za nje kama Misri, Algeria, Germany, Finland, nk. Hali iliyopelekea watu wa nje wengi wanitafute kwa ajili ya kuomba airtime, hasa wasanii (nyimbo, interviews ).
Pia saivi niko mbioni kuanzisha online live tv ambayo nitaiweka kwenye ving'amuzi mbalimbali kama azam, zuku, dstv pamoja na cables za mikoa mbalimbali. Hivyo itatazamwa kama vile channel ya sinema zetu au azam two au itv kupitia visimbuzi hivyo.
Hii online tv ina uwezo wa kurusha matangazo ya live (on time) pamoja na recorded contents kama tu vituo vingine vya runinga bila minara, madish bali kwa computer zenye internet access kwa ubora ule ule.
Hii itasaidia kuingiza pesa nyingi sana pamoja na ajira nyingi iwapo wazo litafanikiwa.
Changamoto ni pesa za uwekezaji katika wazo hili.
Toka nijitambue nimetokea kupenda media na naamini kuwa maisha yangu yapo katika hii tasnia (nitatobolea huku) lakini misingi ya kiuchumi haijawa supportive kwa upande wangu.
Nimewahi pia kuunda fm transmitter na kurusha matangazo ndani ya kata 1 kwa miezi minne lakini nilisitisha maana nilitakiwa kusafiri kwa muda mrefu.
Nakuomba katika nafasi yako unisaidie kufanikisha haya maono kwa namna moja au nyingine.
Hii media itakuwa kubwa sanaaaa!!.
Point Kuu: Nakaribisha wawekezaji kwa hili wazo la tv na radio station yangu. Mashirika, taasisi, makampuni, watu binafsi, nk karibuni mezani tufanye kazi.
Pia nakukaribisha wewe kijana/binti unayependa media, uliye tayari kufanya kazi nami.
Asante.
HERO RADIO
Sikiliza Radio: πHAPA!
Ila nyie watu siwawezi π π πView attachment 3215129
Radio mbona haifunguki?
Mungu akusaidieHabari wakuu!

Sorry, nimetatua tatizo mkuu. Sikiliza saiv mkuu.View attachment 3215129
Radio mbona haifunguki?
AminaMungu akusaidie
Tutakupa ofa ya kuanzisha kipindi cha mahaba, utakuwa unaelezea namna ya kumridhisha mwanamke πNipo tayari kukuletea mzamin je napata nn ?
Tuwasiliane mkuu. Nimeweka mawasiliano saivi kwenye post hapo juu.Nipo tayari kukuletea mzamin je napata nn ?
πππTutakupa ofa ya kuanzisha kipindi cha mahaba, utakuwa unaelezea namna ya kumridhisha mwanamke π
Karibu, haina dalali πTunafanyaje sasa bro? Ni bure au?
Tunafanyaje sasa bro? Ni bure au?
Asante kwa appreciationπππ Big up Mkuu
Nina vipindi vichache, pia inajiunga na Bbc asubuhi na jioni automatically (jumatatu - ijumaa)Hongera Mwana Mbeya, mi nna swali?
Una vipindi umeviandaa mfano burudani michezo habari nk au ni music tu,
Asante mkuuHongera Mwana Mbeya, mi nna swali?
Una vipindi umeviandaa mfano burudani michezo habari nk au ni music tu,
Kuna simulizi tamu pia inarukaAsante kwa appreciation
Nimeku follow mkuuKuna simulizi tamu pia inaruka