mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 471
- 150
Habari wana jamii,
Naomba anaewajua jamaa wanaohusika na kutunza wanyama. Wanakipindi Azam two kila Jumatano. Nipeni namba zao. Kuna Mbwa amegongwa na gari kavunjika miguu yote ya nyuma. Yupo Kongowe standy kupitia Mbagala.
0718116223