Haya kama kawaida ngoja ni assume Kila mwana jf yupo dar
Kuna duka sinza palestina pale wanauza vyombo kwa kilo, kilo Moja elf 5, unachagua vyombo vyako wanapima kwa mzani wanakuuzia kwa kilo
Na wanapiga pesa kweli, hivi vyombo ukiagiza china kilo Moja haiwezi kuzidi elf 2, speaking from experience