Nahitaji Viwanja Vilivyopimwa-Masaki ya njia ya Chanika

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
10,474
9,597
Habari zenu wakuu.
Hembu tujuzane,je Manispaa imeanza kuuza viwanja maeneo ya Masaki?
Au kuna viwanja vipo surveyed maeneo hayo na bei ipoje?
surveyed please,maana kuna watu Dar nimekuta wanalia tu,hasa kigamboni na Mbezi uswazi,pigwa sana
 
Back
Top Bottom