Wee weee.. watch out.. hakuna gari utaweza agiza from Japan na kulipia ushuru kwa 6M.. hakunaa...!! Sio leo hii.. ingekuwa kabla ya UCHAGUZI LAST YEAR labda..tena nasema labda..!! sbb dollar imepaa sana na Taxes zote za importation ziko in dollars kisha wana convert in Tshs.. utalia weee..
Hakuna ushuru wa gari TRA chini ya 4 M.. hapo bado CIF yako, Clearing agent, Insurance, plate number etc...!!
Hiyo haitoshi hata kidogo..
Kwa uzoefu wangu hiyo hela haitoshiii nina uhakika kwa 1000%.. hata kule uchukue VITS kwa $ 500 hiyo hela yako haitoshi.. 6M ni kama $ 2,727..
Hapo TRA lazima wale $ 1,900 hv kodi...!!
Wee Pasco... muingize mwenzako mkenge.... hilo sio kweli..!! Utamtia hasara mwenzako ww... hakuna gari sasa hv utaagiza hadi kutoa kwa 5.5 M... hakuna..!!