Nahitaji vitu hivi ..

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,614
Waungwana natumaini hamjambo!
Nimefanikiwa kwenye zoezi la Rosella wine na Jumapili tumeionja na marafiki zangu imekkuwa safi sana. Changamoto nilokutana nayo ni kukosa chombo cha kupimia alcohol contents kwenye liquid (Alcohol meter). Mwenye kujua hiyo kitu inapopatikana anisaidie ...
Pili, vifungashio vyenye seal - vinapatikana wapi?

Naomba mwenye kujua hayo maneno anisaidie.
 
nakushauri umpigie huyu Ndugu mwenye namba hii 0762 008 327 yeye ni mtengenezaji mkuu wa hiyo kitu na huwa anashiriki maonesho mbalimbali ya bidhaa zake, hata muda huu yuko Mwanza kwenye maonesho ya Africa Mashariki anaishi Ukerewe mkoa wa Mwanza anaitwa Pascal. Mpigie atakusaidia. Yeye anakuwa supported na SIDO
 
Nakushukuru sana kwa mawazo yako, kweli nimepita Rocky city M - kuna mabanda mengi, nitaenda kesho - UBARIKIWE NA BWANA YESU.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…