Jamani nataka kuanzisha kicentre naombeni mwenye vile viti vya darasani aniuzie kwa bei ya used hata vya kurepea nitanunua mimi nipo Arusha Kama kuna mtu alifunga shule yake anaweza kuniuzia pia. Thnx
jamani nataka kuanzisha kicentre naombeni mwenye vile viti vya darasani aniuzie kwa bei ya used hata vya kurepea nitanunua. Mimi nipo arusha. Kama kuna mtu alifunga shule yake anaweza kuniuzia pia. Thnx