Wakuu, nahitaji vitabu vya kiswahili na English vya shule za msingi darasa la 3 mpaka la saba vilivyokuwa vinatumika miaka ya 1980. Kwenye kujua vinapoweza kupatikana kwa kununua anijulishe tafadhali. ni vile vyenye hadithi hizi:
Kibanga ampiga mkoloni
Sizitaki mbichi hizi
twende tukawinde
Siku ya gulio
Mwenge
Floods in Ikwiriri Village
The Hibiscus flower
The three brothers (Clever Head, Good Heart & Strong Arm)
The Veterinary Officer
n.k