Nahitaji vitabu vya hadithi vilivyotungwa na Musiba

Ni muda sn niliwahi kusoma VITABU hivi km vile njaa, kikosi cha kisasi na vinginevyo vingi
Vitabu hivi vilikuwa boomba sana. I remember to read them nikiwa primary. Cant forget Will Gamba. Na mimi ningefurahi kuvipata
 
Njama mkuu Sio njaa.
1. Njama
2. Kikosi cha kisasi
3. Sanda Ya Jambazi
4. Kikomo No1
5. Kikomo No2
6. Nataka Kichwa Rais
7. Mteko Vanu Maputo
8. Lazima Azikwe
Na Vingine vingi.
Ni muda sn niliwahi kusoma VITABU hivi km vile njaa, kikosi cha kisasi na vinginevyo vingi
 
Back
Top Bottom