A akamik Member Joined May 20, 2018 Posts 24 Reaction score 4 Oct 4, 2020 #1 Habari ya jioni wanajamvi, Naombeni msaada nahitaji visa ya matibabu Uturuki. Vitu gani hasa vinahitajika ili nisije nikakosa na pia kunaugumu kiasi gani wakupata visa katika iyo nchi? Asanteni.
Habari ya jioni wanajamvi, Naombeni msaada nahitaji visa ya matibabu Uturuki. Vitu gani hasa vinahitajika ili nisije nikakosa na pia kunaugumu kiasi gani wakupata visa katika iyo nchi? Asanteni.
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,530 Oct 4, 2020 #2 Sasa hata husemi unataka kwenda kufanya nn, Haya Visa Ya matibabu ni bure nenda ubalozini kachukue uende
Sasa hata husemi unataka kwenda kufanya nn, Haya Visa Ya matibabu ni bure nenda ubalozini kachukue uende
A akamik Member Joined May 20, 2018 Posts 24 Reaction score 4 Oct 4, 2020 Thread starter #3 Nilisahau kuandika.. ni kwaajili ya matibabu [emoji4]
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,059 Reaction score 15,530 Oct 4, 2020 #4 akamik said: Nilisahau kuandika.. ni kwaajili ya matibabu [emoji4] Click to expand... [emoji28][emoji28][emoji28] Haya fanya nilichokueleza
akamik said: Nilisahau kuandika.. ni kwaajili ya matibabu [emoji4] Click to expand... [emoji28][emoji28][emoji28] Haya fanya nilichokueleza