MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 273
Msaada wadau,
Natafuta magunia (viloba) kwa ajili ya kuwekea mazao. Hasa yale ya 100kg kwa bei ya jumla.
Mwenye kujua bei. Navitaka hapa kwetu Sumbawanga.
Asanteni.
Tuma Meseji 0620 484 081 kama unavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app