The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
- Thread starter
-
- #21
Mkuu. Hawa mbuzi ni wako?View attachment 3436776Huyu ni isiolo ana miezi 8 sasa kabakisha miezi 2aanze kupandwa. Wewe unaowahitaji ni wa chini ya hapo au wa saizi hiyo?
Ndio ndugu nafuga hao karibu sana tujifunze na kufuga pamoja.Mkuu. Hawa mbuzi ni wako?
Mkuu. Hawa mbuzi ni wako?
KAKA shikamoo nawezaj kuja PM tafadhari natanguliza shukrani zanguNdio ndugu nafuga hao karibu sana tujifunze na kufuga pamoja.
It is true that you cannot start from step 5 without first starting from zero and then one and two.Kwanini more than 14 acres and not less than that ?
I think at the beginning you have to start with little you have, then you can grow slowly
Karibu sana ufugaji ni wakwetu sote.KAKA shikamoo nawezaj kuja PM tafadhari natanguliza shukrani zangu
To start small is a good idea kuliko kusubiri kikubwa ambacho hujui utakipata lini.Kwanini more than 14 acres and not less than that ?
I think at the beginning you have to start with little you have, then you can grow slowly
Unanichanganya 😓
Wala hauhitaji kibunda wa nyumbani. Anza na ulichonacho na anza sasa.Kwa watu wenye more than 14 acres hii ya mbuzi ni bonge la idea kama unatarget return ya 1M+ TZS profit kwa mwezi. Kama una taarifa za kutosha kuhusu huu mradi. Business plan yangu nimeificha sandukuni nikipata kibunda najitosa.
Wakati wa Mungu ukifika utafanya kila kitu sawa ndugu karibu sana.Unanichanganya 😓
Naona nachelewa
Bei?View attachment 3436776Huyu ni isiolo ana miezi 8 sasa kabakisha miezi 2aanze kupandwa. Wewe unaowahitaji ni wa chini ya hapo au wa saizi hiyo?
Uko wapi mkuu
Napatikana Kibamba Dar.Uko wapi mkuu
Hao siwauzi ni wakwangu wa kuzalisha, ila huwa natoa vidume kila vinapo kuwa tayari kuanzia miezi 5 kwenda mbele na bei ni maelewano kuanzia laki 2 kwenda mbele kutegemeana na Mbuzi na ubora.Bei?
Nazungumzia uwekezaji kama ilivo wanaofungua duka la hardware au viwanda. Kuanzia chini inawezekana lakini hakikisha una kazi nyingine inayokuingizia pesa.Wala hauhitaji kibunda wa nyumbani. Anza na ulichonacho na anza sasa.