ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Upo serious au unawazingua vijana. Mbona unafichaficha wazo la kibiashara ulilo nalo. Nadhan ungeweka wazi tulipime wazo lako hata kama ctakuwa mm naweza kuwafaham vijana unaoweza kushirikiana nao. Ucjipe mzigo wa kupokea sim kujib maswali ya m1m1. Nawaza tu.
Mmetutosa kimtindo kwa kutumia kigezo cha ujana, si wazee sijui twende wapi maana Tanganyika/tanzania legion nayo imebomolewa
Mkuu hujatoswa unaweza kutuunganisha na vijana wa Karibu yako utakuwa umeshiriki kwa namna hiyo pia..
Chesco Mzee wa Matunda, kumbe ni wewe.Niko serious mkuu ila kama uko interest tunapanga meeting mzee sio maskhara . kuhusu kuweka hapa aina ya wazo langu la biashara sina uhakika na haki miliki ya wazo langu kwakuwa sasa vijana wengi sio wabunifu waigaji na huharibu hata image ya wazo pia. Mfano nilikuwa wa kwanza kufungua kona matunda pale Africa sana baadae unajua nini kilitokea kila mtu anataka afanye biashara hiyo hiyo
Chesco Mzee wa Matunda, kumbe ni wewe. Swali langu ni wapi ambapo wazo ulilonalo litafanyika(Location), kumbuka forum hii wanaingia watu toka maeneo tofauti. Kuhusu watu kutaka kufanya biashara kama yako hio ni kawaida na duniani kote inafanyika hivo ila la msingi wewe kama mjasiliamali unapaswa kuwa m-bunifu kwa kuongeza thamani/mvuto/kuboresha zaidi ili kuwa tofauti na wenzako waliokuiga.
Well mkiwa mnapanga kupanua wigo niko tayari kuungana nanyi pia. Pamoja sanaUko sahihi mkuu katika ushindani kunahitajika kuboresha kila siku ili kukidhi ubora na ushindani makini. kuhusu wazo hili sitaki kuanza na mshindani wakati mmoja vinginevyo najua kuna watakaoiga ila lengo ni kuanza na wazo binafsi ili waigaji wafuate njia, tutaanzia Dar kwa sasa afu tunapanua wigo hatua kwa hatua.
Well mkiwa mnapanga kupanua wigo niko tayari kuungana nanyi pia. Pamoja sana
Niko serious mkuu ila kama uko interest tunapanga meeting mzee sio maskhara . kuhusu kuweka hapa aina ya wazo langu la biashara sina uhakika na haki miliki ya wazo langu kwakuwa sasa vijana wengi sio wabunifu waigaji na huharibu hata image ya wazo pia. Mfano nilikuwa wa kwanza kufungua kona matunda pale Africa sana baadae unajua nini kilitokea kila mtu anataka afanye biashara hiyo hiyo.