Nahitaji vifungashio

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,180
Reaction score
3,118
Habari hapa jamvini.

Kama title ilivyo.

ninahitaji vifungashio material ya plastic au nylon

Size kwa sasa ninahitaji kilo moja mpaka kilomoja na nusu ,kadri nitakavyokua naendelea ndipo nitaongeza size.

Kwa yeyeyote ambaye anavyo au kuna mtu anamjua anavyo tafadhal msaada.

Pia kama kuna mtu anajua napoweza kupata naomba msaada wako.

Mawasiliano pm
 
Vifungashio vya size gani mkuu Au vya kuwekea bidhaa gani? Kama upo dar Nenda soko dogo kariakoo.
 
Usipende kuweka namba hadharan hata kama unashida ungeuliza kwanza,,
Uko wapi ww ili usaidiwe??
 
Hivi Vifungashio Vinakuwa na size namaanisha upana na urefu wake Kuna size Mfano 10 *12cm etc Au ni design ipi unamaanisha?
Hapo mkuu sikupazingatia maana ndio kwanza natakà kuanza.nataka kuwekea unga mkuu ,kwa uzoefu wako inaweza ikawa size gani nzur
 
Kenya kuna kampuni unaweza kutoa order na ukitaka hata label yako wanakuprintia moja kwa moja,kuanzia nusu kilo na kuendelea ukigoogle unaweza kuzipata kirahisi nimesahau jina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…