Nahitaji vifaranga chotara 1000

Nahitaji vifaranga chotara 1000

Joined
Apr 27, 2022
Posts
44
Reaction score
51
Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji
Na wasilisha.
N.B 1. kipaumbele watapewa wa mkoa wa Singida na Dodoma
2.ukiwa nao kuanzia 300 pia itafaa
 
Mkuu vifaranga Sasso wanazalishwa na silver land wapo Iringa. Hivyo Kwa mikoa uliyotaja Kwa hakika sijui kama utapa vifaranga walio bora
 
Vikipatikna unaanza kujamba jamba ooh ngoja niongee na bos kwanza,mara jiii! kumbe dalali. Jf inakuaga na dili kichaa
 
Back
Top Bottom