Nahitaji vifaa vya sehemu ya chips na viti vya mbao

Nahitaji vifaa vya sehemu ya chips na viti vya mbao

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,235
Reaction score
2,546
Hellow [emoji112]

Nahitaji vifaa vya sehem ya chips kama kabati la kioo, karai kubwa lile hata vikiwa used ila viwe katika hali nzuri

Ni pm unitumie picha na bei

Pia viti vya mbao na meza (kwa anayetengeneza) au kama unamjua fundi mzuri na wa bei za kawaida tu ni pm namba zake au mahali alipo

Viti mfano kama hivi
Adjustments.jpg

IMG_1717.jpg




Kwa waliopo dar tu
 
Back
Top Bottom