Nahitaji vidonge vya kuongeza ashki


Mtafute CAREN atakusaidia....
 
kuna ukorofi uliwahi kumfanyia dada wa watu miaka kumi iliyopita
then akakutembelea kwa kamati husika

Hutasimamisha milele na unakosa hamu , we kaa vizuri na ukumbuke ukorofi uliofanya kwa huyo dada

Hivi kweli kuna kiumbe anayeweza kufanya ubaya kama huu kwa binadamu mwenzake, any way ngoja nikumbuke nikipata jibu niyafanyie kazi hayo yote.
 
EDMUND Unapendwa sana na wadada wa JF wamekuhurumia wanajua mtu unavyojihisi mambo yakiwa hivi

nawaomba waendelee kunipenda hivyo hivyo labda watatatua tatizo langu kwa ushauri wao.
 
nashukuru kwa kunishauri ndugu, naahidi kuufanyia kazi USHAURI wako.

usisahau vile vile kula salad, mapilipili hoho ya kuchemsha, asali, tembe walau tano za kitunguu saum, maji ya muarobaini uliochemshwa, matunda na mbogamboga za majani zilizochemshwa zisiive sana
 
kingine sali sana na ikibidi muombe mchungaji akuombee kwani mapepo yako mengi
 
mh kweli kabisa watumishi wa Mungu 2po kwa ajili ya matatizo ya watu. Asikwambie mtu maombi yana nguvu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…