Nahitaji viatu kwa jumla kutoka China

Nahitaji viatu kwa jumla kutoka China

waukweli100

Senior Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
193
Reaction score
24
Yeyote yule anayeuza viatu kwa jumla kutoka China, nicheck Whatsapp kwa namba hii ili tufanye biashara zaidi na zaidi.

Nipo Mozambique: +258 866 131 115
 
Kuna uzi ulianzishwa hapa unahusu viatu vya m2mba,,vp huko kunasoko la uhakika? Tunaomba utujuze mkuu,,
 
Back
Top Bottom