Chukua hapa hapa bongo kwa mtu kuepusha un-neccessary costs. Ukipata C ya mwisho au D ya mwanzo inakuwa makini sana. Gharama haitazidi 6.5m huku ukikuta ina malipo ya bima na accessories zote kama triangle,fire extinguisher, brake fluid na mazaga mingine kulingana na umakini wa mwenye gari.
Engine yake ni 1G-FE (1998cc) ama ukikuta lenye jiko kubwa ni 1JZ-FSE (2492cc). Engine madhubuti za inline 6 zote.