nahitaji VEROSA

Verossa?????
Wewe jamaa hiyo gari umeshauriwa na Nani au unaipenda muonekano wake?
Pia unahitaji used ya kibongobongo au japan?
 
nataka kuagiza toyota verosa, nahitaji kujua kuhusu hii gari sana, ina 4 na 6 au zote ni 6 cylinder. zina matatizo gani makubwa?
Zote ni 6 boss.

Ziko za 2.0l engine ni 1g-fe(ambazo ziko pia kwny Cresta,chaser,mark 2,altezza etc) na model hii ndio ilinunuliwa sana hapa bongo.

Ziko za 2.5l engine yake ni 1JZ-GTE turbocharged almaarufu kama VR25(hizi ni chache sana hapa mjini na kwa mambio ni balaa)

Ziko za 2.5l engine yake ni 1JZ-FSE(hata kwa mbio sio mbaya)

Hazina matatizo/magonjwa ya ajabu ajabu,sana sana naona bodi yake ikichoka inakuaga na hali mbaya.
 
Chukua hapa hapa bongo kwa mtu kuepusha un-neccessary costs. Ukipata C ya mwisho au D ya mwanzo inakuwa makini sana. Gharama haitazidi 6.5m huku ukikuta ina malipo ya bima na accessories zote kama triangle,fire extinguisher, brake fluid na mazaga mingine kulingana na umakini wa mwenye gari.

Engine yake ni 1G-FE (1998cc) ama ukikuta lenye jiko kubwa ni 1JZ-FSE (2492cc). Engine madhubuti za inline 6 zote.
 
Kuna mwarabu alikua na verossa 1JZ-GTE moto wake ulikua si wa kitoto.
 
Lete 7.5m nkuachie verosa yangu namba D imetembea KM 55000 tu na bado ni mpya kbsa huwa siitembelei maana natumia gari ya kazini mara nyingi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom