Zote ni 6 boss.nataka kuagiza toyota verosa, nahitaji kujua kuhusu hii gari sana, ina 4 na 6 au zote ni 6 cylinder. zina matatizo gani makubwa?
Chukua hapa hapa bongo kwa mtu kuepusha un-neccessary costs. Ukipata C ya mwisho au D ya mwanzo inakuwa makini sana. Gharama haitazidi 6.5m huku ukikuta ina malipo ya bima na accessories zote kama triangle,fire extinguisher, brake fluid na mazaga mingine kulingana na umakini wa mwenye gari.
Engine yake ni 1G-FE (1998cc) ama ukikuta lenye jiko kubwa ni 1JZ-FSE (2492cc). Engine madhubuti za inline 6 zote.
GTE ni msalaKuna mwarabu alikua na verossa 1JZ-GTE moto wake ulikua si wa kitoto.
Weka picha mkuu nauhitaji namiLete 7.5m nkuachie verosa yangu namba D imetembea KM 55000 tu na bado ni mpya kbsa huwa siitembelei maana natumia gari ya kazini mara nyingi
Nicheki PM mkuuWeka picha mkuu nauhitaji nami