Mkuu Kama una nafasi ndogo unaweza tu kuwaweka pamoja cha muhimu weka vichanja ili kuku walale juu wanapenda sana kulala juu na bata walale chini Ila kama unafuga bata bukini inabidi utenganishe maana ni wakali sana.