Habari zenu wa MMU
Mimi ni binti wa miaka 25.
Kuna kaka nilmsaidia kazi fulani na urafiki ukaanzia hapo.(urafiki wa kawaida japo mim nilikua cngle mda huo) kwakua ana mke na watoto wawil japo wanaish mikoa tofaut 7bu kubwa ni kazi.
Kama baada ya mwaka huyu kaka akaanza kubadilika ana taka niwe mchepuko wake lakn nikifikia kuolewa ata niacha na kuheshmu maamuz yangu.ckupenda hayo mahusiano nae aka elewa 2kazd kua marafk wa kawaida japo mda mwngne anakumbushia.na cjawah sex nae wala kis
nilipo pata mpenzi hakufurahia nami nikajitahidi kupunguza ukaribu japo mpenzi wangu alikuja ona text yake akapata mashaka nikamwambia ishu nzima akaelewa na kulipotezea.
Kanambia asubuhi hii kuwa kafiwa na mkewe nami nahisi nahitaji kwenda as msiba ni msiba lakini mpenzi wangu ata nifikiriaje?naweka picha gani?nini maswali mengi kichwani hata sielewi lakufanya samahani kwa uandishi mbaya.