Nahitaji ushauri wenu

Nahitaji ushauri wenu

Kwa hiyo hadi hadi course hujui ila unajua sehemu za kufanyia kazi. Be serious basi. Mwisho wa siku utakuja kuuliza chuo gani nikasome.

1. Unatakiwa ufanye research kujua chuo husika.
2. Course zinazotelewa (hapa utaangalia na curriculum) ili ujue ukimaliza unakuwa nani.
3. Mengine utatuletea mrejesho hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh haya bhana nashukuru
Kwa hiyo hadi hadi course hujui ila unajua sehemu za kufanyia kazi. Be serious basi. Mwisho wa siku utakuja kuuliza chuo gani nikasema.

1. Unatakiwa ufanye research kujua chuo husika.
2. Course zinazotelewa (hapa utaangalia na curriculum) ili ujue ukimaliza unakuwa nani.
3. Mengine utatuletea mrejesho hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifaulu mkuu? Kama jibu ni ndio, kwanini usienda advance?

Au kama upo desperate sana, ufaulu wako ukituhusu,pitia diploma za hayo mambo.
 
Ulifaulu mkuu? Kama jibu ni ndio, kwanini usienda advance?

Au kama upo desperate sana, ufaulu wako ukituhusu,pitia diploma za hayo mambo.
Ndio nmefaulu lakini kwa masomo ya arts
 
IT ndio ina hivi vitu.
Kwahiyo we tafuta chuo kinachofundisha IT or ICT.
 
unaweza ukasoma computer science/IT lakn uwe na pass ya mathematics kama hauna hautoweza kusoma hzo course lakn pia ww ni kijana mdgo bado una mawazo mengi na nguvu pia learn kujitengenezea ajira mwenyew sio kusubiri kuajiriwa utasubiri sana mdg ang , than pia sio lazima course unayo isomea ndio uifanyie kaz
Ndio nmefaulu lakini kwa masomo ya arts
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom