uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,825
- 38,345
Habari ndugu zangu JF!
Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule.
Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni kwasababu nimejibu maswali mawili baadala ya moja kama yalivyokuwa maelekezo. Nikiri kwamba nili overlook instructions.
Binafsi nina mawazo sana wakuu wangu!
Sijawahi kupata “0” tangu nizaliwe.
Nimemfuata mwalimu husika personally na kumueleza tatizo langu. KAKATAA KATU!
Kinachonisumbua, kuingia UE ni kama ngamia kupita tundu la sindano.
Tuna group assignment (10 marks) na kuna test two ( hii bado hatujafanya ina marks 15).
Nishauri wakuu kwa hili.
Asante nawapenda wote!
Ushauri Ni huu: go ahead, una chance, sahau hiyo test Na ondoa hofu! Maana Na hiyo hofu utaharibu zaidi, Tafuta Mda wako msii Mungu akusaidie!