Nahitaji ushauri wenu wakuu

Nahitaji ushauri wenu wakuu

Dar umenikumbusha mbali sana, yaani kipindi icho ndio nimeingia 1st year chuo, test yangu ya kwanza ya Somo la CCC+ (programming language) nilipata 0/10% nilipigwa na butwaaaaaah, nilipata mpaka tumbo la kuhara, kila nikigeuka uku naskia watu sauti zinasema hapa Udsm-Coict watu wana disco sana nikajua nime kwisha ila cha kushangaza nilipata access ya kufanya UE na pia ilo somo siku sup mungu ni mkubwa sasaivi najishughulisha na uuzaji wa chakula cha mifugo ya kuku.

Duuh, hongera na pole mkuu.

Hapo Coict ni kweli ukikaa kiree unaliwa kichwa.
 
Nyie, Uwiiiiii! Mungu ni mwema aysee .

Test Two nimepata 12/15. Nimebakisha 4 niingie UE. Bado Group assigments hazijarudi.

Technically nimeshaingia UE japo kwa Mbinde, Nawashukuru wote mlionitia moyo.
 
Fairness ipo mkuu mwisho wa semister coursework utaona zinabalance tu acha presha
 
Pole Sana!
Bado una Nafasi kubwa Sana ya kufaulu..
Kwa Nguvu zote komaa na individual assignment na hiyo test Two inaweza kukutoa

#jiongeze, fanya vitu nje na masomo huku mtaani hatutaki GPA yako tunataka competence yako na uwajibikaji wako.

1.Tafuta kazi au biashara.
2 Fanya volunteer sehemu yoyote according to your Field of discore..
3.Kuwa tofauti na wenzako
5.Soma Sana.
mzee vavadua vizuri hapa
 
Back
Top Bottom