Nahitaji ushauri wenu wakuu

Nahitaji ushauri wenu wakuu

INRI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
1,356
Reaction score
2,402
Habari ndugu zangu JF!

Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule.

Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni kwasababu nimejibu maswali mawili baadala ya moja kama yalivyokuwa maelekezo. Nikiri kwamba nili overlook instructions.

Binafsi nina mawazo sana wakuu wangu!

Sijawahi kupata “0” tangu nizaliwe.

Nimemfuata mwalimu husika personally na kumueleza tatizo langu. KAKATAA KATU!

Kinachonisumbua, kuingia UE ni kama ngamia kupita tundu la sindano.

Tuna group assignment (10 marks) na kuna test two ( hii bado hatujafanya ina marks 15).

Nishauri wakuu kwa hili.

Asante nawapenda wote!
 
Pole Sana!
Bado una Nafasi kubwa Sana ya kufaulu..
Kwa Nguvu zote komaa na individual assignment na hiyo test Two inaweza kukutoa

#jiongeze, fanya vitu nje na masomo huku mtaani hatutaki GPA yako tunataka competence yako na uwajibikaji wako.

1.Tafuta kazi au biashara.
2 Fanya volunteer sehemu yoyote according to your Field of discore..
3.Kuwa tofauti na wenzako
5.Soma Sana.
 
Ilo swala tulipitia sana najua situation unayopitia wanaweza tokea comeback ya maana hapo mbele

Najua hali yako hata mm nilikuwa nayo usijali mi nakumbuka yalibaki group na pale teacher ana complicat mambo kinoma nashangaa group letu 8/10 test two 7/10 mzee bonge la come back

Sisi tulikatwa marks kwa vile mtihani ulikuwa umewai kumalizika sio kawaida maswali mengi kakata karibia column mbili chanzo wa kwanza kwenye column anataka kukusanya anasema bado hajamaliza akajua ni wote akakata Marks 3 sasa paper humaliza ukipata tatu una zero anatoa 3 ukipata zero una negative 3 anapunguza kule kwenye coz work ni mkoloni ila alipiga carry robo na wengin alikuwa piga sup kibao kweny UE
 
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri mzuri.

Hatuna “individual assignment” instead tumefanya “group assignment “.

Binafsi najiongeza mdogo mdogo na vibiashara vya kufanya niishi maana sina mkopo.
 
Ilo swala tulipitia sana najua situation unayopitia wanaweza tokea comeback ya maana hapo mbele

Najua hali yako hata mm nilikuwa nayo usijali mi nakumbuka yalibaki group na pale teacher ana complicat mambo kinoma nashangaa group letu 8/10 test two 7/10 mzee bonge la come back

Sisi tulikatwa marks kwa vile mtihani ulikuwa umewai kumalizika sio kawaida maswali mengi kakata karibia column mbili chanzo wa kwanza kwenye column anataka kukusanya anasema bado hajamaliza akajua ni wote akakata Marks 3 sasa paper humaliza ukipata tatu una zero anatoa 3 ukipata zero una negative 3 anapunguza kule kwenye coz work ni mkoloni ila alipiga carry robo na wengin alikuwa piga sup kibao kweny UE

Umenifariji na kunipa tumaini.

8/10 + 7/10 = 15/20. Ulipita kuingia UE maana kwetu hapa kuingia mpaka 16.
 
Palikuwa na zingine za indidual assigment test nilipata 5 akakata 3 zikabaki mbili indiviual assigemnt nilikuwa na tano na kitu zote mbili
Umenifariji na kunipa tumaini.

8/10 + 7/10 = 15/20. Ulipita kuingia UE maana kwetu hapa kuingia mpaka 16.papalik
 
A see.. usikate tamaa.. jiandae vizuri kwa mitihani inayofuata utatoboa.
 
Palikuwa na zingine za indidual assigment test nilipata 5 akakata 3 zikabaki mbili indiviual assigemnt nilikuwa na tano na kitu zote mbili

Anha, Hongera mkuu.
 
Habari ndugu zangu JF!

Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule.

Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni kwasababu nimejibu maswali mawili baadala ya moja kama yalivyokuwa maelekezo. Nikiri kwamba nili overlook instructions.

Binafsi nina mawazo sana wakuu wangu!

Sijawahi kupata “0” tangu nizaliwe.

Nimemfuata mwalimu husika personally na kumueleza tatizo langu. KAKATAA KATU!

Kinachonisumbua, kuingia UE ni kama ngamia kupita tundu la sindano.

Tuna group assignment (10 marks) na kuna test two ( hii bado hatujafanya ina marks 15).

Nishauri wakuu kwa hili.

Asante nawapenda wote!
Jenga tabia ya kusoma maswali kwa uangalifu kisha fuata maelekezo
 
Mkuu unasoma law
 
Economies

Mimi sikufanya cart one 1 ila nikafanya cart 2 nikapata 14/15 kabla ya assigment, ukijumlisha na assignment marks 10 nikafikisha course work.
 
Economies

Mimi sikufanya cart one 1 ila nikafanya cart 2 nikapata 14/15 kabla ya assigment, ukijumlisha na assignment marks 10 nikafikisha course work.

Aisee, you played your cards right.
 
Kwa mliopitia saut mwanza. Kuna lecture ni marehemu anaitwa sir Njura Mungu mlaze mahali pazuri.
Nilipata jumla ya maksi 14 hiyo ni cozwok nzima na na kabla ya test alisema hv hakuna make up. Test nilipiga 4/20 Nilikonda sana nikajisemea hv ndio nina carry mazima.
Siku fulani ya kipindi chake cha single pale m10 jioni kabisa tuko watu wachache hatari akafundisha mwishoni akasema haya chukua karatasi. Akadisplay swali ubaoni kwa projector akasema tufanye. Kumbuka hapo tuko wachache balaa.
Baada ya kumaliza akasema karatasi za upande huu ziende upande ule za kule ziende pale. Lengo ni sisi kujisahihishia bila kujuana maana juu ya karatasi ni kukaa registration no tu. Baadaye akasema ya kuwa hii ndio make up
Mjuba nilifanya nakumbuka lilikuwa ni somo la discourse Analysis. Nikawa na uhakika katika yale maswali nimepata 6/10.

Siku aliyotoa feedback ya coursework kama nilivosema hapo juu ni nilijikuta nina 14. Akatoa tangazo kwa whtsap ya kuwa kama una tatizo mfuate. Dah nikakumbuka nilifanya makeup. Huyoo hadi ofisini kwake. Akasema tafuta karatasi yako ya make up hapo usubr folen. Ni kachukua boks langu nikalipa ta karatasi.
Kulicheki nina 6/10 so ukiongeza nakuwa na 20 kamili so ue uhakika nafanya. Nikamplekea karatasi baada ya kufika zamu yangu akalipitia tena asahihishe. Kumbe aliyenisahihishia alinikosesha maksi moja nikajikuta nina 7.
Dah nilishukuru sana kwa yeye kuusikiliza so ue nilifanya.
Juhudi yangu ya kutodoji vipindi ni msaada kwangu ambao najivunia pia.

Something sad ni kwamba haikupita hata mwezi SIR njura akafariki ghafla aisee iliniuma sana yaani mtu katoka kunisaidia Then si muda anafariki.
Anyway nirudi kwako mkuu,

Jitahidi umuone mwalimu na jitahidi kuhudhuria vipindi vya mwsho kwani walimu huweza kuingiwa na huruma So unaweza kuta akatoa make up. Sasa na hiyo make up ukikosa utamlaumu nani. Have confidence mtafute muda wa consultation atakusikiliza.
Malecture nao walikuwa kama sisi so ukijieleza vzr hawezi kubana.
 
Back
Top Bottom