Huyo dogo ni mjinga sana aisee!Kwenye mkeka hiyo tunaita ni BOTH TEAMS TO SCORE, kiujumla wewe na huyo mume wa huyo mwanamke madishi yenu yameyumba, unakomaa na demu ambae anatoka na jamaa lililooa? Acha utani mkuu, kanisani huko tunaombewa tujitokeze kama upepo wa kisulisuli halafu wewe unamkazia msuli mala.ya
Nyie ndio wanaume wepesi mnaobebwa na upepo wa kisulisuli.
Mwanaume gani unahangaika kizembezembe hivi?
View attachment 1234574View attachment 1234575View attachment 1234576View attachment 1234577
Yaani Hapo umefanya a Very right revenge..la msingi achana na huyo dem wako tafuta bebe nyingne..mzee usiteswe na mapenzi mzee hasa kama wewe ni muhangaikaji na unatengeneza mkwanjwa wako mzuri tu..mapenzi yawasumbue ma marioo na college guys..madem wapo wengi na wenye adabu wakipata bbwanaWakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.
Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.
Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.
Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.
Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.
Kiukweli huyu binti nampenda sana.
Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.
Naomba ushauri wako.
Yaani Hapo umefanya a Very right revenge..la msingi achana na huyo dem wako tafuta bebe nyingne..mzee usiteswe na mapenzi mzee hasa kama wewe ni muhangaikaji na unatengeneza mkwanjwa wako mzuri tu..mapenzi yawasumbue ma marioo na college guys..madem wapo wengi na wenye adabu wakipata bbwana
Unaweza ukacoment upendacho ila kila binadam anatabia zake mimi sio jinga la mtaani huebda ata apo ulipo bila mimi kufanya majukumu yangu sahihi wew usingekoment hayo...heshimu mawazo ya mtu usitus...Huyo dogo ni mjinga sana aisee!
1. Yaani anachezea moto mkali kwa mke wa mtu?
2. Yaani anajua demu analiwa na jamaa, lakini eti anataka ushauri tena!!??? Aisee wajinga ni wengi sana.
Sijui anataka agundue nini? Eti nime-prove kaliwa na jamaa!
Kwangu mimi siyo hadi nikufumanie,wala ku-prove unatoka na nani!
Dalili tu za kucheat nakuacha mapema sana. Kama akiwa ni mke wangu nikijua hilo tu unakwenda kwenu na ukigoma, unakwenda kwa kipigo cha mbwa koko au utaziona gunia mbili za mkaa najua utasepa tu.
Ke wako kibao mtaani na kazini na makanisani wamesubiria upepo wa kisulisuli, wewe unakosa raha kisa ka mwanamke kamoja.
Pumbaaavu kabisa.
Kuna cha kujifunza hapa.Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.
Kiukweli huyu binti nampenda sana.
Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Mkuu kwahiyo wakubali tu kushareHapo kilichopo ni kutengeneza ndoa ya watu wa nne. Wanawake wawili na wanaume wawili, kwa sababu wewe huwezi kuachana na mke wa jamaa na jamaa hawezi kuachana na dem wako.
Utakuwa na matatizo makubwa ya kimahusiano wewe jamaa. Tangu ujiunge humu nyuzi zako ni za vilio vya mapenzi tuu. Yani unaonekana uko too hopeless kwenye mambo ya kimahusiano.
Hata mwanamke atakayekuwa na wewe inabidi awe ni type ya wale walokata tamaa ya kupata mtu mwenye staha zake. Type ya wanawake wanaokufaa wewe ni wale wanaotegemea upepo wa kisulisuli.
Msaada msaada msaada
Habarini ....mimi ni kijana umri 28...ila sina mahusiano kabsa ila najikuta sipati usingizi adi saa nane au tisa usiku nipo tuu jf na mitandao mengine an all of time nasoma thread za mapenz au histry of past life on different events.....naomba msichana,mdada,mmama anayehisi atanifaa plz njooo...www.jamiiforums.com
Msaada wadada na wamama
Mimi nimekaa mdaa bila mwanamke, kwanin nyie hampo series saiz natafuta wa kushare life tuu story na gambe ndio best friend jamaan kwa yeyote aliyepo interested kuanza safari karibuni...www.jamiiforums.com
Wadada Nisaidieni...
Wakuu habarini...naulza swali ni kwanin wapo baathi ya wanawake ukimgegeda hasa katerero anakojoa mkojo huu wakawaida tena mwingi sana tusaidiane....www.jamiiforums.com
Mpenzi wa kike anatafutwa
Habari za wakati,husika na kichwa hapo juu,natafuta mwanamke ili awe mpenzi,awe anaishi dar,awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 32 na kuendelea......Mimi Nina miaka 26 ninafanya kazi na najiweza kiuchumi,napenda mwanamke mkubwa kwangu. Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
Cc: Unforgetable
Vipi sister mbona umeya quote na Red colour maneno ya Shem?
Aise ndug nashukuru sanaa...nimeelewa sana.Daah mkuu una moyo mgumu Kama chuma,
Unaanzaje kuongea na jamaa lililokula
Tamu yako,
Alafu huyo mwanamke anakulaumu kwa ulichokifanya, kwahiyo alichofanya yeye ni kawaida
Jitahidi uachane na huyo mwanamke, Hana tofauti na m*****ya hata ukimsamehe lazima atarudia.
Mpende akupendaye asiye kupenda achana nae, hiyo Ni dalili tosha Kama hakupendi, hata ukiendelea nae, mbele utapata tabu sana,
unataka kukosa Raha kisa mwanamke mmoja, mbona wapo wengi mkuu,
sinamaanishi uwe unapiga na kuacha, Kama kama wanaojiita mabaharia wa nchi kavu,hapana, namaanisha tafuta atakayekufaa.
Jipende wewe na nafsi yako mkuu.
Safi sana..umekosea kumgonga mke wa jamaa.. Jamaa Yeye alipiga demu wako kwa Sababu demu wako ni kicheche tu... Piga chini mbwa huyoWakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.
Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.
Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.
Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.
Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.
Kiukweli huyu binti nampenda sana.
Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.
Naomba ushauri wako.
cha kufanya cha kwanza ni kuachana kabisa na mke wa mtu mzee ni sumu jamaa alikusameh maana yey ndo alianza lakini still yule ni mwanamke wake tema wa ndoa nakusihi achna na huyo mwanamke ukimuendekeza atakuingiza kwenye matatizo makubwa na wala hakutaki yeye anataka amuumize mume wake kama revenge fulani hivi kuhusu huyo demu wako amua mwneyewe ilaWakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra.
Bila kupoteza muda ipo hivi, Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa uflani kwa mara nyingi. Nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuwa huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa.
Kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na demu wangu na ana mke na amemfumania. Jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka nje ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na demu wangu na nilimkuta bado analumbana na yule dada, nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenzi wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika na wakati huyu dada ananiambia nikaprove.
Sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa wiki kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa ana shida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenzi na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku demu wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa huyo dada na kwa kuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfuata mkeo wala nilikuwa simjui ila wewe ndie chanzo maana umetembea na demu wangu na ndio maana haya yametokea.
Aliomba msamaha na mimi nikasamehe. But mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanini nimelipa kisasi kile.
Kiukweli huyu binti nampenda sana.
Wakuu naomba mnishauri, Je nimuache huyu demu wangu na yule mke wa jamaa nimfuate yeye na mumewe niwaeleze na kuwa sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au nitafute mpenzi mwingine kama Mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie?
Naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata sasa hivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila nina mawazo sana hata kupumnzika nashidwa.
Naomba ushauri wako.
Inversely proportional.Graph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.
Sema na moyo wako mkuu, wewe ni mwanaume penda kiasi akili ndio ionhoze moyo..Wanawake ndio hupenda mazima.
Play smart in every move u do in the life.
-The hunger for love will lead you to Depression and stress
Basi Mimi Nina akili kubwa jamanGraph ya mapenzi iko hivii, Mapenzi yakiwa makubwa kwa mtu Akili inakua kidogo na akili ikiwa kuubwa mapenzi yanakua kidogo. Vitu vyote vimewekwa duniani katika scale of balance. Kimoja kikixidi kingine basi hua shida ndio maana mwilini mwako vitu vyote viko balance ukipunguza au kuzidisha kitu basi tunakutoa kwenye uasili wa binadamu.