Nahitaji ushauri wenu nateseka kimawazo...

Mzee sasa unachoogopa hapo nini. Yani wewe una girlfriend tu unahangaika wakati mwenzio wife wake umetembea naye na wala hawazi, we utakua sio mzima.
 
28 yrs mbona mingi sana! Kuwa mwanaume acha uvulana.

Demu! Vs mke wa mtu!
Unadhani demu wako anauma kama ulivofanya kwa mke wa mtu?

Fanya ukue basi.
 
Huu upopoma wa kuhangaika na mahusiano muda wote na hali ilivyo ngumu hivi wenzangu huwa mnatoa wapi?

Au ndio nyie mboga saba.
 
Nimekuelewa sana braza.Halaf maandish yakonyamekua kama kioo ambapo nimejitazama na kujiona mm kabisa nilivyo
.
Principle yangu ndio hii...
Usimpende mwqnamke kupitiliza.Mpende kawaida huku ukimheshimu lakin akili zitangulie mbele hisia zifuate nyuma.Niko na yf mwaka wa 9 huu kwa kanun hii
 
Pamoja sana kiongozi..tupo hapa kukumbushana, Mwanaume wa kweli lazima atembee na kanunui na miongozo itakayo muongozo kwenye maisha ya kila siku sio kua bendera.
 
Wengine wanafukua makaburi we umefumua mapiramidi...

***** sana huyu dogo fala...
 
haya maneno yapasa tuyaishi, pindi tupotezapo muda mwingi katika maswala ya mapenzi ndivyo tutakavyo poteza muda mwingi kufanikisha mengine,
mkuu kwaleo maneno yako yamekuwa na uzito na maana sana kwangu pia mtoa mada atakuwa kapata point kuu
 


Tema huyo demu aliyekucheat, warembo wako wengi sana.
 
Piga chini wote...Sababu kwa huyo mke wa jamaa ,Mwanamke asiye muaminifu kwa mumewe kwa sababu Yeyote ile hata kwako itakuwa ni yaleyale baada ya Muda tu na Huyo uliyenaye kishaonja dhambi ya Kula nje HATAACHA.
 
Hali inayotaka kufanana na hiyo ishanitokea kuna jamaa nilikuta msg anamtaka mke wangu nikamchek Ewan akasema nimsamehe amekosea yakaisha ila nikaja onana na mkewe siku fulan tukapeana namba hvi navoandika nishajipigia kma Mara mbili na jamaa hajui
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ jamaa inaonekana maombi hayajamfikia
 
Re
Rebecca
 

wewe nani kakwambia mwanamke anapenda mazima? mwanamke anaangalia maisha yapo wapi....ukitaka kujua mwanamke hapendi ebu kosa ndalama alafu tuone kama utapata demu wakuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…