Wakuu habarini za saiz naandika uzi huu nikihitaji mawazo yenu kwani nipo njia panda na nashidwa kujua nifanye nin labda mawazo yenu yaweza nijenga kifikra..bila kupoteza muda ipo ivi
Nimekuwa na mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili na nusu na huyu binti ila amenifanyia haya miezi minne imepita sasa huyu binti nilihisi ananicheat maana tabia ilibadilika na kweli nilimfuma anachat na kuwasiliana na jamaa flani kwa mara nyingi nilimkanya na ziku zikaenda baada ya visa kadhaa nilimkuta analumbana na mwanamke mmoja kwenye simu yake na mazungumzo yao ilikuw huyu binti analaumiwa na mke wa mtu akimwambia achana na mume wangu na anamharibia ndoa..kweli nilipeleleza nikajua yule jamaa ndie anatoka na dem wangu na anamke na amemfumania jambo hili likaniumiza nikaomba likizo ya week nikatoka njee ya mkoa kupumnzika niliporudi nilionana na dem wang na nilimkuta bado analumbana na yule dada..nikachukua namba za yule dada na baada ya muda nikamtafuta akanieleza kila kitu na ukweli ni kwamba mpenz wangu alitoka na jamaa na akasex nae mara moja na hio siku nilijua na niliandika nawakati uyu dada ananiambia nikaprove...sasa yule dada tulizungumza sana na kuwasiliana kwa week kadhaa ila akanikopa fedha kiukweli sikumpa ila nilikuwa nayo siku nyingine akanilaumu kuwa anashida ilibidi nimsaidie ila ndio mwanzo wa tatizo hili,mambo yalikuwa mengi ila nilijikuta naingia katika mapenz na mke wa yule jamaa na tulisex mwisho wa siku dem wangu alijua na akaprove na alikwenda kumwambia yule mume wa uyo dada na kwakuwa huyo jamaa ananifahamu alinitafuta na mimi nikamsikiliza ila nikamwambia mimi sijamfata mkeo wala nilikuwa simjui ila wew ndie chanzo maana umetembee na dem wangu na ndio maana haya yametokea aliomba msamaha na mimi nikasamehe..but mpaka sasa mke wa jamaa ananisumbua anahitaji kuwa na mimi karibu na tuwe rafiki,pia yule demu wangu ananiomba msamaha lakini pia ananilaumu kwanin nimelipa kisasi kile,kiukweli huyu binti nampenda sana...wakuu naomba munishauri je nimuache uyu demu wangu,na yule mke wa jamaa nimfate yeye na mumewe niwaeleze na kua sihitaji,au nipeleke kesi kwa wazazi wao au rafiki zao wa karibu au niataute mpenzi mwingine kama mungu atapenda au nifanye nin ili nafsi yangu itulie naona hali hii mbaya hadi inanitatiza kazini hata saivi usiku huu 01:30am nipo kazini ila namawazo sana hata kupumnzika nashidwa,naomba ushauri wako matusi hapana asanteni.