Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Hakuna mwanamke wakuoa hapo, ukimuoa huyo usituletee ujinga wa kuomba tena ushauri hapa
 
Ila kuna watu hawatumii akili aisee.sio mbaya sababu wote n warukaji wa klabu.
Kimsingi bro huo n ufala uliopitiliza mke ana hang na wanaume mbele ya macho na wewe unaridhia?. Penzi lenu la kikahaba.
 
Huwezi kumwita mpenzi wako wakati unaona kabisa mdangaji tatizo a kusikiliza sana moyo bila kushirikisha ubungo wako huyo atakuja kufanya mapenzi mbele yako kama sio kitadani kwako piga chini uone km huo moyo utachomoka
 
Huwezi kumwita mpenzi wako wakati unaona kabisa mdangaji tatizo a kusikiliza sana moyo bila kushirikisha ubungo wako huyo atakuja kufanya mapenzi mbele yako kama sio kitadani kwako piga chini uone km huo moyo utachomoka
Ubungo= ubongo
 
tunawaita machangudoa.....wasichana makahaba....oukey......wanaume...sorry wavulana makahaba wanaitwaje??? wewe mmoja wao.....
 
Mkuu unataka kuoa demu wa club kila wekeend anaenda kuaprty!

Tupe mrejesho umefika wapi?
 
Yani ukisikia maisha yanaweza yakamfanya mwanaume akawa bwege ndio Leo sasa
 
Bwege Sana wewe!
 
Inshort umefall kwa changu aisee,halafu acha kupenda hovyo mimi kama katibu wa chama cha wanaume nimesema usipende pende hovyo,tutakuja kukuaga pale leaders club,kwa hili ulilofanya nakupa yellow card!
Hahahahaaaa ***** nimecheka kifara
 
Kwanza una akili za kiswaswadu bado hujatulia.Una drama nyingi Sana.Hiko kigari kinakusumbua kukesha club.Hivyo visichana Ni vya starehe

Tulia jijenge kimaisha then tafuta mwanamke alietulia oa usije ukaishia kupata magonjwa ya zinaa, ukazaa na wasichana hovyo au kuishia ulevi coz of stress.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…