Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Baelezee baelewe kaka mkuu
 
Kweli kbs watu wengi walishaniambia kwamba huyu sio Mwanamke, amerithi karibu kila kitu kutoka kwa Mama yake.

Kuna watu vipofu na wajinga sijapata kuona,yaani wewe hauoni hilo ni takataka nawewe unafanya upumbavu hapo,kwa kifupi nyie wote ni washenzi,mmekutana mnaofanana ndio maana bado mnapendana.

Kama haupendi hayo maisha achana naye uanze maisha mapya.Una matatizo gani au kasoro gani usitafute mwanamke wa maana anayejiheshim na mzuri??

Mambo ya hovyo hivi wala si yakuomba ushauri,unawezaje kudumbukia chooni kisha uanze kutafuta ushauri wa kutoka au kutotoka unless chooni ni makazi yako ya kawaida?
 
nmesoma stor yako vzr,pole sana kaka,ushauri wang achana nae..!
 
Achana na h
achana na huyo muuza nyama!...songa mbele!
 
duuuuhhh"" watu mnavisanga "" baba yko kama yupo Humu akiusoma huu Uzi LA zima ajiulize huko shule nilimpeleka mwanangu kusomeaga ujinga au '''!!!?? in short umempenda Malaya wa corner bar"" meza panadol tu mkuu
 
duuuuhhh"" watu mnavisanga "" baba yko kama yupo Humu akiusoma huu Uzi LA zima ajiulize huko shule nilimpeleka mwanangu kusomeaga ujinga au '''!!!?? in short umempenda Malaya wa corner bar"" meza panadol tu mkuu

Mim siji kuoa, ni puli tu...kuna limdori nimeagiza china kbs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…