Hivi kijana ulieamua kuoa kwa hiari yako mwenyewe unakaaje ukweni?? ili iweje?? na hayo unayoyapata ni halali yako. Huyo binti wakati unamuona alikuwa na umri chini ya miaka 18 mpaka aendelee kuangaliwa na wazazi??
hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo
kila kitu kinakuwa silent mode hata vibration hathubutu kuwekaMhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
hahaa kakaa ukweni ili bint akue.........imbombo jilipo
Jilipo na loli....huyu baba vipi? Kitoabu hebu hama haraka bro, huna hata haja ya kuja kuuliza huku! Mke atakufuata tu.....
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
Smile hata kupka kakuku kako sasa utafanyaje silent aise wasihisi harufukila kitu kinakuwa silent mode hata vibration hathubutu kuweka
Heaven on earth anatia hasira ujue analalamika badala ya kuchukua maamuzi bana haya ndiyo yale maamuzi unatakiwa uchukue bila hata kuuliza yaani waanaamka asubuhi wanakutana na mabegi nje na kila kitu wakiulza unawaambia naenda kwetu na ole wake mtu amguse mke wangu au mtotohahaaa hebu mshaurini mwanaume mwenzenu........huyu Asprin sijui siku hizi kafungiwa na nani
hapo kujiachia huwezi....unaanzaje kwanza kujiachia!!!!!