tatizo sipendi kushindwa mkuuPole mkuu, yawezekana ni tatizo la kiasaikolojia, labda baada ya kutishiwa ukaanza kujenga hofu (kwenye sub-concious mind or unknowingly), then huo uoga ndio umeenza kukushawishi concious mind vinginevyo.
Otherwise, Uchawi upo (hata kwenye vitabu vitakatifu umeandikwa sana), ila Habari njema ni kuwa Kunaye Mungu ambaye shetani hana ujanja Kwake, so ukiwa nae na kumshika kwa moyo, uko safe na huna cha kuogopa kuhusu shetani. Mtafute maadamu anapatikana. (unfortunately watu wengi wamejazwa hofu sana ya kumuogopa shetani, ni kweli shetani ukimzoea zoea lazima atakuaibisha ila ukimjulia, he is nothing at all)
Vinginevyo Ligi mkuu sio nzuri, Binafsi sikubali kuonewa, ila likija swala la ligi inayoweza kuepukika, Mkuu huwa napisha mwenye nguvu apite na hadi sasa sijawahi kujuta.
nakuja ila wanyama nyumbani kwako?
tatizo sipendi kushindwa mkuu
oa tu mkuu hiyo issue itapotea, lakini usijaribu kwenda kwa mganga sababu nae ni mchawi, omba Mungu sana na ikiwezekana peleka hili swala kwa mchungaji then uktoka nenda kituo cha counselling ili akili yako irudi kawaida maana mpaka sasa akili yako ipo kwenye level ya 'TOTALLY COLLAPSED'.dawa yake inakwaje mkuu niPM
Tafuta mtu mmoja unayedhani ni tajiri sana, kisha anza kushindana naye kutafuta pesa, naamini utamshinda kama ulivyomshinda huyo jamaa kwa demu. Halafu kila utakapoona majumba na magari ya kifahari utatamani kuyanunua kama unavyotamani wanyama.
Nikiwa na mpenzi heri anitege kwa kujifanya doggy style bhana vinginevyo mmmh!me nahisi ni tatizo la kisaiokolojia umelianzisha mwenyewe kwa kujitisha,
if ni kurogwa kweli kuna mawili chagua kusuka au kunyoa either kwenda kwa mganga au kurudi kwenye maombi uende na kichwa na kiwiliwili sio kwa kubip
Tafuta mtu mmoja unayedhani ni tajiri sana, kisha anza kushindana naye kutafuta pesa, naamini utamshinda kama ulivyomshinda huyo jamaa kwa demu. Halafu kila utakapoona majumba na magari ya kifahari utatamani kuyanunua kama unavyotamani wanyama.
tatizo ndo hivo,nataka kuoa sasa nifunge ndoa na nani?