Nahitaji ushauri kuhusu TV nchi 43

Nimeona LG OLED 48" 48C1 inauzwa mahali, brand new - zaidi ya million 2. Ila TV kali sana. Kwa laki 500, labda utapata hizi TV ambazo hazina majina makubwa, na sijui life span zake zikoje hizo za majina madogo
 
Njoo uchukue lg 52 inches kwa 750k used ila ipo okey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…