Nahitaji ushauri juu ya tatizo la meno

Mwamgunda

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
247
195
Wapendwa naimani wote mu wazima wa afya ya kutosha! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, hapa nilipo nimekwisha ng'oa meno yapatayo matano na sasa nina maumivu makali ya jino japo halijatoboka. Naomba mnipe ushauri ndugu zangu maana hali hii inanitisha na nina maumivu makali sana!
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,605
2,000
Mkuu.@Mwamgunda Kila siku unapo amka kabla ya kula kitu au kabla ya kupiga Mswaki jaribu kukinga mkojo wako usukutue ndani ya mdomo wako kama dakika 5 kisha uteme huo mkojo wako fanya hivyo kila siku asubuhi kwa muda wa siku 3 kisha njoo hapa unipe feedback.
 
KENTUS

Member
Jan 24, 2012
90
70
pole sana mkuu!
jaribu kutafuta dawa hii hapa ya meno. inayoitwa tiens toothpaste hii itakusaidia sana kwani hufanya yafuatayo:-
- huzuia maradhi ya meno km stomatatis, halitosis na erythrism
- huzuia meno kuoza
- inazuia maumivu ya meno na kuyafanya yawe magumu
- inaondoa acid ambyao hujificha katikat ya meno
- huzuia fizi kuvimba
- ina vitamini A na B za kutoa sumu
- huondoa harufu mbaya

kwa ushauri zaidi wa kiafya na kama ukiihitaji waweza wasiliana nami kwa:-
TEL NO. +255755569494
E-mail: ruhazwentaki@yahoo.com, ruhazwentaki@gmail.com
or visit: http://www.tiens.com, http://www.aftiens.com
 
NZURI PESA

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
5,973
2,000
1.Tumia kipande cha mti wa MWAROBAINI kama mswaki kila siku. au
2.Changanya unga wa MDALASINI na ASALI na kisha pakaa kwenye FIZI.
 
Kilimo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
779
250
pole sana mkuu!
jaribu kutafuta dawa hii hapa ya meno. inayoitwa tiens toothpaste hii itakusaidia sana kwani hufanya yafuatayo:-
- huzuia maradhi ya meno km stomatatis, halitosis na erythrism
- huzuia meno kuoza
- inazuia maumivu ya meno na kuyafanya yawe magumu
- inaondoa acid ambyao hujificha katikat ya meno
- huzuia fizi kuvimba
- ina vitamini A na B za kutoa sumu
- huondoa harufu mbaya

kwa ushauri zaidi wa kiafya na kama ukiihitaji waweza wasiliana nami kwa:-
TEL NO. +255755569494
E-mail: ruhazwentaki@yahoo.com, ruhazwentaki@gmail.com
or visit: http://www.tiens.com, http://www.aftiens.com

pl hii dawa hata kwa watoto inaweza kutumika?
 
kalagabaho

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,454
2,000
Mkuu.@Mwamgunda Kila siku unapo amka kabla ya kula kitu au kabla ya kupiga Mswaki jaribu kukinga mkojo wako usukutue ndani ya mdomo wako kama dakika 5 kisha uteme huo mkojo wako fanya hivyo kila siku asubuhi kwa muda wa siku 3 kisha njoo hapa unipe feedback.

Dr side effect ya kunywa huo uchafu kila asubuhi ni ipi?
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
8,916
2,000
yule mwalimu wa kibasila alianza hivi hivi mpaka akawa na shehena ya mikojo na kinyesi chumbani
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,605
2,000
Dr side effect ya kunywa huo uchafu kila asubuhi ni ipi?
Wewe unataka kujuwa Dawa yangu Side effect kama vile umeuliza wewe hiyo dawa ndugu kalagabaho Dawa zangu nitoazo hapa Jamii forums hazina Madhara kwa watumiaji Side Effect. Nenda kokote kaulize hata kwa wakemia wakuu kawaulize Dawa zangu hutaona Side Effect yoyote .
 
Last edited by a moderator:

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,605
2,000
yule mwalimu wa kibasila alianza hivi hivi mpaka akawa na shehena ya mikojo na kinyesi chumbani
Mkuu mdukuzi Hapa tuko katika kusaidiana hatuko katika kukashifiana kama huna kitu cha ku Comment bora unyamaze kimya ni vizuri zaidi kuliko ku comment maneno yako ya pumba. Mkuu kama kitu hukijuwi hapo ndipo mahali pa kujifunza ukae ukijuwa Jamii Forums ni chuo kikuu kila Elimu ukitaka utafundishwa hapa Jamii Forums ni kila kitu.
 
bamoh

Member
Jan 12, 2015
7
0
Haja ndogo inasaidia m nmeshatumia nmeshang'oa meno 9 baada ya kutumia dawa hyo sisikii tena jino lolote likiuma
.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,605
2,000
Haja ndogo inasaidia m nmeshatumia nmeshang'oa meno 9 baada ya kutumia dawa hyo sisikii tena jino lolote likiuma
.
Mkuu bamoh bora uwaambie wewe wanafikiri mimi ninasema maneno ya uongo nikitowa Dawa yangu humu jukwaani nina uhakikia kwa asilimia 100%100 intibu na kufanya kazi yake kama ninavyotaka ifanye kazi yake sibahatishi mimi kutowa Dawa ya kutibu maradhi yoyote yale.
 
Last edited by a moderator:

Justin Dimee

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,146
1,225
asante sana jf nimengoa gego langu zuri tu majuzi nikaliona lilikua zima halijatoboka wala nini nikafikiri dokta alikosea nime maliza wiki mbili tu mambo yaka anza tena kila siku nimekua wa kumeza declopa jamani nimeteseka na hangaika na madawa ya ajabu ajabu na toa hela tu kumbe dawa ninayo mwenyewe santeni jf na anza dozi mapema kesho. kwani maumivu ya jino jamani acheni tu linauma kifani hakuna..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom