Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,049 Reaction score 1,022 Jan 17, 2014 #1 Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe
Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Jan 17, 2014 #2 Waombe mods wauhamishie uzi wako jukwaa la matangazo hapa si mahala pake
N nellyzk Senior Member Joined May 24, 2013 Posts 153 Reaction score 24 Jan 18, 2014 #3 ongeza 20,000 nikuuzia HTC wildfire iko katika hali nzuri kma uko interest ni tumie sms/ whatsapp no 0789949809
ongeza 20,000 nikuuzia HTC wildfire iko katika hali nzuri kma uko interest ni tumie sms/ whatsapp no 0789949809
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,049 Reaction score 1,022 Jan 18, 2014 Thread starter #4 WAHEED SUDAY said: Waombe mods wauhamishie uzi wako jukwaa la matangazo hapa si mahala pake Click to expand... Mkuu sawa lakini ngoja kwa leo uzi huu ukae hapa hapa ila siku nyingine nitafanya hivyo asante
WAHEED SUDAY said: Waombe mods wauhamishie uzi wako jukwaa la matangazo hapa si mahala pake Click to expand... Mkuu sawa lakini ngoja kwa leo uzi huu ukae hapa hapa ila siku nyingine nitafanya hivyo asante
Ilisolokobwe JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 1,865 Reaction score 833 Jan 18, 2014 #5 nakupa p3 kwa 130k betri 2.nicheki 0786705206
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,049 Reaction score 1,022 Jan 18, 2014 Thread starter #7 SamJet said: subiri mwakani Click to expand... Mkuu nahitaji mapema
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,049 Reaction score 1,022 Jan 18, 2014 Thread starter #8 nellyzk said: ongeza 20,000 nikuuzia HTC wildfire iko katika hali nzuri kma uko interest ni tumie sms/ whatsapp no 0789949809 Click to expand... Mkuu nitakutafuta ili tufike mwafaka
nellyzk said: ongeza 20,000 nikuuzia HTC wildfire iko katika hali nzuri kma uko interest ni tumie sms/ whatsapp no 0789949809 Click to expand... Mkuu nitakutafuta ili tufike mwafaka
danali JF-Expert Member Joined Jan 30, 2012 Posts 1,135 Reaction score 1,675 Jan 18, 2014 #9 Hakikwanza said: Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe Click to expand... Ipo nokia c7
Hakikwanza said: Jamani mwenye kunisaidia ili nipate smart phone yeyote nzuri isiyo vuka 100000, kama techo P3. Nipo njombe Click to expand... Ipo nokia c7