NAHITAJI:Used Samsung HD Flat Screen 21" au 22"

NAHITAJI:Used Samsung HD Flat Screen 21" au 22"

JakaRoho

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
40
Reaction score
6
Hellow wadau
Mwisho wa Mwezi huu nahitaji kununua Samsung HD Flat Screen 21" au 22" lakini kutokana na kahela kangu toka kwa bosi wangu "Kanyibay" sitokuwa na uwezo wa kununua MPYA,hivyo nalazimika kutafuata hata MTUMBA,Hivyo kama kuna mtu anayo tunaweza kuwasiliana.Ninaweza kununua kwa bei isiyozidi 280,000/= pesa za kitanzania.
Shukrani
 
SINGSUNG HDMI NCH 22
Ninayo flat screen Singsung HDMI bado ni mpya na boks lake. ni nch 22.kama kweli unahitaji njoo uichukue kwa lak 3 tu ( tsh 300,000/- karibu. kama unatumia whatsap nipatie number yako nikutumie via whatsap. Au nicheki kwa 0713401812
 
Asante Dadio,ila mi nahitaji samsung kwasababu hizo SANSAN na SINGSUNG sio nzuri kiviile.
 
Back
Top Bottom