magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Sep 23, 2018 #1 Naombeni msaada wa kupata unga wa ndizi /kampuni linalotengeneza unga wa ndizi kwa tanzania hapa
ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,805 Sep 23, 2018 #2 Unahitaji tani ngapi mkuu
magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Sep 23, 2018 Thread starter #3 Plantain banana flour ...kama 10 kgs ...ila iwe kwenye kampuni iliyosajiliwa mkuu
ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,805 Sep 23, 2018 #4 Daa kidogo, ok upo mkoa gani?
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,034 Reaction score 60,684 Sep 23, 2018 #5 Kama 10 kg mbona hata wewe unaweza tu kukausha ndizi za kijani na kusaga? Kama mzigo mkubwa labda India ni watumiaji wakubwa sana wa banana flour maana imo kwenye list ya superfood
Kama 10 kg mbona hata wewe unaweza tu kukausha ndizi za kijani na kusaga? Kama mzigo mkubwa labda India ni watumiaji wakubwa sana wa banana flour maana imo kwenye list ya superfood
ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,805 Sep 23, 2018 #6 Kuna Mdada mmoja alikuwa ananiletea Ila kitambo ngoja nicheq namba yake.
magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Sep 23, 2018 Thread starter #7 black sniper said: Kama 10 kg mbona hata wewe unaweza tu kukausha ndizi za kijani na kusaga? Kama mzigo mkubwa labda India ni watumiaji wakubwa sana wa banana flour maana imo kwenye list ya superfood View attachment 875667 Click to expand... Ndio mkuu..ni kiasi kidogo ila nataka uliotoka kwenye kampuni kwanza ...kabla ya michakato mingine...
black sniper said: Kama 10 kg mbona hata wewe unaweza tu kukausha ndizi za kijani na kusaga? Kama mzigo mkubwa labda India ni watumiaji wakubwa sana wa banana flour maana imo kwenye list ya superfood View attachment 875667 Click to expand... Ndio mkuu..ni kiasi kidogo ila nataka uliotoka kwenye kampuni kwanza ...kabla ya michakato mingine...
magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Sep 23, 2018 Thread starter #8 Ni wa tanzania hapa mkuu?? ichumu lya said: Kuna Mdada mmoja alikuwa ananiletea Ila kitambo ngoja nicheq namba yake. Click to expand...
Ni wa tanzania hapa mkuu?? ichumu lya said: Kuna Mdada mmoja alikuwa ananiletea Ila kitambo ngoja nicheq namba yake. Click to expand...
ladygreen Member Joined May 12, 2018 Posts 56 Reaction score 64 Sep 24, 2018 #9 Mmh ndo naskia unga wa ndizi mnisaidie matumizi yake plz