Uzi si umeuleta jana tu mkuu? Wapo waliojitokeza huko juu, umewasiliana nao wakashindwa ndio uhitimishe kuwa hakuna hao designer? Haya mambo hayahitaji haraka, wengine wapo huko mtaani si watumiaji wa jf huko umewakosa…!?
Acha kuwa na wenge boss, mwishowe utajikuta unapigwa!