Nahitaji uchawi wa kuwaroga wazungu

Nahitaji uchawi wa kuwaroga wazungu

Sidhani kama wazungu watakuruhusu ubebe ndumba upite nazo Airport ukawaroge. Wazungu wameandika hadi kwenye biblis habari za uloxi
Wajerumani walitunga sheria ta uchawi sio bure lazima uliwaathiri.
Nimewahi kusoma kitabu kimoja jinsi wazungu walivyopata shida ya kurogwa nchini kongo, kule kitabu kilieleza kuwa wengi walikufa sana huko kongo.
Wakikugundua unawaroga watakulima shaba.
Huo uchawi utaufanyaje nje maana kuna mda inanibidi uvhinje mnyama umwage damu, upige nazi, umwage mahela sasa kamera si zitakunasa mkuu.
Halafu wanasema uchawi hauvuki maji.
Nasikia wazungu wana uchawi wa ki freemason utawaweza ?
 
Mkuu kuna babu yangu anao wa kumuweks sawa mwansmke. ZYaani kama mwanamke ni msumbufu unamtuliza tuli. Sikuuchukia kwa sababu my eifu ni humble ila siku akizingua lazima nirufi KIGOMA kwa babu.
Alinipa vitu vya shambani tu, yaani scud za hatari. Ukija bongo nitafute nikupe connection nae babu ale piza za ulaya.
Mkuu sitanii.
 
wakuu dunia imechanganya nikama imekata break kwenye mteremko , hata huku ughaibuni tulipo mambo ni patashika, mguu washingo mguu wa roho, kazi nazo zimekuwa gombania goli. Kazi kama kubeba boxi, usafi na delivery ambazo ndizo mkombozi wetu wageni tulio wengi kwa sasa nazo zimevamiwa na wazawa kwa kasi kubwa, maana sasahiv si ajabu kuwakuta wazawa hapa sweden wakikimbizana na mabox, madekio na delivery kwa wingi wa ajabu kuliko ilivyokuwa hapo awali jambo linalosababisha watu kupunguzwa makazini hovyohovyo pasipo mpango.

Hivyo mimi kama mbongo lendi asili, JITU mwitu msitu nimeona nibadili silaha yangu katika vita hii yakusaka maokoto, na rasmi natangaza kuigeukia njia ya ulozi, uchawi na ushirikina kama silaha yangu ya mwisho na kama mpaka ulozi utadunda basi nitarudi bongoland kiroho safi.

Nimekuwa nikisikia kuwa wazungu hawarogeki, Je hili lina ukweli?? Na kama wanarogeka ni njia gani za KUWAROGA kirahisi? maana mpaka hapo navyoandika uzi huu tayari nimeshalitia Shangazi lakiswidi mikononi mwangu, ila nahitaji niliongeze na dozi ya Ulozi juu ili niliongoze kama remote sababu madem waswidi sio rahisi kutoa maokoto, na nikimaliza kuliroga hili nataka nimroge na mtoto wake mkubwa ili asiniletee miyeyusho kwenye harakati zangu za kuchuma vibunda, kabla sijaamia kwa bosi wake na mdogo wake, kwa kifupi nataka cycle yake nzima niipige pigo kuu la kilozi ili nitawale himaya yake yote kama chifu lumanyika.

View attachment 2852996
Duuuuuuh!
 
Back
Top Bottom