passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,936
Hapa mwaka 2020 mbona ulikuwa unauliza kwenda huko?2019
Na November 2019 ulikuwa unaulizia process za huko?
Nijulishe mkuu na mimi nione kuna fursa gani ?
Hapa mwaka 2020 mbona ulikuwa unauliza kwenda huko?2019
Fatilia nyuzi zangu vizuri utaelewa tuu mzeeHapa mwaka 2020 mbona ulikuwa unauliza kwenda huko?
Na November 2019 ulikuwa unaulizia process za huko?
Nijulishe mkuu na mimi nione kuna fursa gani ?
Hio post ya 2020 unaulizia kuhusu huko SwedenFatilia nyuzi zangu vizuri utaelewa tuu mzee
Sio dhambi mkuu, Okey nihivi, november 2019 niliuliza kuhusu visa process na viambatanishi, na december 24, 2019 nikakwea pipa, 2020 niliuliza kuhusu credit transfer sababu niliamua kupiga master's kabisa, 2020 nikasema ulaya pagumu nataka rudi bongo, but nikaipangua master's fresh, sasahiv nakomaa mdo mdo na ngazi ya juu zaidi, napiga box kama kawa, nakula mashangazi kama kawa mkuu, karibu tuungane hapa uppsalaHio post ya 2020 unaulizia kuhusu huko Sweden
Na wewe umesema umeenda 2019 ndio maana nimeuliza.
Au kosa mkuu?
Mkuu kwani mimi nikiamua kuwa mchawi na mlozi wew unateseka ni nin? Na kwa nini unipe ushauri huu kwa kutumia lugha ya ukali kiasi hicho..? Mim siwez kutegemea nadharia za vitabu hata siku moja, tena nikupoteza muda. Nasimama na wachawi na walozi kila mtu na awe na imani katika kile anachoona kina manufaaWazungu hawarogeki sababu uchawi ni mind game na haupo. Hauwezi kumroga mtu asiyeamini uchawi na kuchukulia kama upuuzi. Kama kuna mganga mkali humu aniroge mimi tuone.
Sasa cha msingi na solution pekee ni wewe kuacha imani za kipuuzi na acha upumbavu, iwe nje, ndani au juu, njia pekee ya kupata unachotaka ni kuwa smart. Na njia pekee ya kuwa smart ni kusoma na kugain knowledge hasa kupitia vitabu. Kuna kitabu kinaitwa How to Win Friends and Influence People by Dale Carnegie. Anasema njia pekee ya kupata unachokitaka ni kumfanya mtu atake kufanya mwenyewe na sio otherwise.
Kama uko serious then grow the fvck up na chukua huo ushauri.
Kwanini madem wakizungu wanataka wanaume waki Afrika wasiojielewa ?Ki Svenska nakiongea vizuri sana mkuu, in fact ukitaka upate mademu wakiswid usilete ujanja wakuongea kiswidi sana watajua we mjanja, dem mzungu anataka mtu fala so najitaidi kuonekana bwege na mbumbumbu kadri ya uwezo wangu.
Kuna jamaa wa Congo aliingia na uchawi USA aliwasumbua kinoma....Sasa wakaja kumpata kwenye finger prints baada ya kutumia ghost camera.....alipandishwa ndege faster bila maelezo ya ziadawakuu dunia imechanganya nikama imekata break kwenye mteremko , hata huku ughaibuni tulipo mambo ni patashika, mguu washingo mguu wa roho, kazi nazo zimekuwa gombania goli. Kazi kama kubeba boxi, usafi na delivery ambazo ndizo mkombozi wetu wageni tulio wengi kwa sasa nazo zimevamiwa na wazawa kwa kasi kubwa, maana sasahiv si ajabu kuwakuta wazawa hapa sweden wakikimbizana na mabox, madekio na delivery kwa wingi wa ajabu kuliko ilivyokuwa hapo awali jambo linalosababisha watu kupunguzwa makazini hovyohovyo pasipo mpango.
Hivyo mimi kama mbongo lendi asili, JITU mwitu msitu nimeona nibadili silaha yangu katika vita hii yakusaka maokoto, na rasmi natangaza kuigeukia njia ya ulozi, uchawi na ushirikina kama silaha yangu ya mwisho na kama mpaka ulozi utadunda basi nitarudi bongoland kiroho safi.
Nimekuwa nikisikia kuwa wazungu hawarogeki, Je hili lina ukweli?? Na kama wanarogeka ni njia gani za KUWAROGA kirahisi? maana mpaka hapo navyoandika uzi huu tayari nimeshalitia Shangazi lakiswidi mikononi mwangu, ila nahitaji niliongeze na dozi ya Ulozi juu ili niliongoze kama remote sababu madem waswidi sio rahisi kutoa maokoto, na nikimaliza kuliroga hili nataka nimroge na mtoto wake mkubwa ili asiniletee miyeyusho kwenye harakati zangu za kuchuma vibunda, kabla sijaamia kwa bosi wake na mdogo wake, kwa kifupi nataka cycle yake nzima niipige pigo kuu la kilozi ili nitawale himaya yake yote kama chifu lumanyika.
View attachment 2852996
Uchawi upo acha ujinga...eti masakiUchawi unaaminiwa na watu wajinga na masikini ndo maana ni rahisi mtu wa Chitipa kuamini kalogwa hata akiumwa malaria kuliko mtu wa Masaki let alone wabongo na mizungu.
Kwa hiyo mkuu Mashangazi yana patika kwa urahisi uko?Sio dhambi mkuu, Okey nihivi, november 2019 niliuliza kuhusu visa process na viambatanishi, na december 24, 2019 nikakwea pipa, 2020 niliuliza kuhusu credit transfer sababu niliamua kupiga master's kabisa, 2020 nikasema ulaya pagumu nataka rudi bongo, but nikaipangua master's fresh, sasahiv nakomaa mdo mdo na ngazi ya juu zaidi, napiga box kama kawa, nakula mashangazi kama kawa mkuu, karibu tuungane hapa uppsala
Uchawi upo acha ujinga...eti masaki
Kweli kabisa, kazi ya box imeingiliwa na pisi za UkraineCompetition imekuwa kali sana kwa wabeba boksi kwasababu ya wakimbizi wanawake wa Ukraine. Wanawafavour sana kwasababu ni wazungu wenzao, warembo wachapa kazi, waadilifu na hawadai mshahara mkubwa.
Kazi za usafi wanapewa kipaumbele.
Tatizo la nigger hata kubeba boksi ni hovyo. Nigger anahitaji ukombozi wa kipekee.
Nigger hana work ethics kabisa. Kuna mmoja tena jana nilienda supermarket yani yeye na simu tu huku akifagia. Na wafanyakazi wa supermarket wanamuangalia kwa mshangao. Nikabaki kushangaa.
Kazi za kubeba boksi ziko nyingiiii sana.
Delivery sasa hivi hailipi kama zamani kwasababu ya mafuta kupenda. Uncle Vlad mpuuzi sana kwa kuanzia vita ya Ukrsine.
Huu ni uwendawazimu kuita watu usio wajua masikini, hii ni aina fulani ya ugonjwa wa akili, kujitafutia faraja hata kwa vitu vya kufikiria. Unahitaji msaada wa kiakili. OverHongera kwa kuwa aidha mjinga au maskini au both.
Huu ni uwendawazimu kuita watu usio wajua masikini, hii ni aina fulani ya ugonjwa wa akili, kujitafutia faraja hata kwa vitu vya kufikiria. Unahitaji msaada wa kiakili. Over
Kazi dogo Sana hii Kwa mtaalamu wangu,kipindi fulani alinipa dawa nikawa wa kutongozwa na wanawake na nikitongoza sikuwahi kukataliwa matokea yake nikatia mimba kwa demu wanne mkupuo.wakuu dunia imechanganya nikama imekata break kwenye mteremko , hata huku ughaibuni tulipo mambo ni patashika, mguu washingo mguu wa roho, kazi nazo zimekuwa gombania goli. Kazi kama kubeba boxi, usafi na delivery ambazo ndizo mkombozi wetu wageni tulio wengi kwa sasa nazo zimevamiwa na wazawa kwa kasi kubwa, maana sasahiv si ajabu kuwakuta wazawa hapa sweden wakikimbizana na mabox, madekio na delivery kwa wingi wa ajabu kuliko ilivyokuwa hapo awali jambo linalosababisha watu kupunguzwa makazini hovyohovyo pasipo mpango.
Hivyo mimi kama mbongo lendi asili, JITU mwitu msitu nimeona nibadili silaha yangu katika vita hii yakusaka maokoto, na rasmi natangaza kuigeukia njia ya ulozi, uchawi na ushirikina kama silaha yangu ya mwisho na kama mpaka ulozi utadunda basi nitarudi bongoland kiroho safi.
Nimekuwa nikisikia kuwa wazungu hawarogeki, Je hili lina ukweli?? Na kama wanarogeka ni njia gani za KUWAROGA kirahisi? maana mpaka hapo navyoandika uzi huu tayari nimeshalitia Shangazi lakiswidi mikononi mwangu, ila nahitaji niliongeze na dozi ya Ulozi juu ili niliongoze kama remote sababu madem waswidi sio rahisi kutoa maokoto, na nikimaliza kuliroga hili nataka nimroge na mtoto wake mkubwa ili asiniletee miyeyusho kwenye harakati zangu za kuchuma vibunda, kabla sijaamia kwa bosi wake na mdogo wake, kwa kifupi nataka cycle yake nzima niipige pigo kuu la kilozi ili nitawale himaya yake yote kama chifu lumanyika.
View attachment 2852996
Unapotumia neno either, ni tayari uneshaweka hitimisho juu ya machaguo yako mawili, kwamba lazima kimoja kiwe sahihi ama vyote.. Kati yako mimi nawew nani kusoma kumempita kushoto? [emoji41]Naona hujui kusoma ndo maana unajiita mwehu. Utakua mwehu kweli. Mwehu lazima aamini uchawi upo.
Unapotumia neno either, ni tayari uneshaweka hitimisho juu ya machaguo yako mawili, kwamba lazima kimoja kiwe sahihi ama vyote.. Kati yako mimi nawew nani kusoma kumempita kushoto? [emoji41]