mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,411
- 5,150
wakuu dunia imechanganya nikama imekata break kwenye mteremko , hata huku ughaibuni tulipo mambo ni patashika, mguu washingo mguu wa roho, kazi nazo zimekuwa gombania goli. Kazi kama kubeba boxi, usafi na delivery ambazo ndizo mkombozi wetu wageni tulio wengi kwa sasa nazo zimevamiwa na wazawa kwa kasi kubwa, maana sasahiv si ajabu kuwakuta wazawa hapa sweden wakikimbizana na mabox, madekio na delivery kwa wingi wa ajabu kuliko ilivyokuwa hapo awali jambo linalosababisha watu kupunguzwa makazini hovyohovyo pasipo mpango.
Hivyo mimi kama mbongo lendi asili, JITU mwitu msitu nimeona nibadili silaha yangu katika vita hii yakusaka maokoto, na rasmi natangaza kuigeukia njia ya ulozi, uchawi na ushirikina kama silaha yangu ya mwisho na kama mpaka ulozi utadunda basi nitarudi bongoland kiroho safi.
Nimekuwa nikisikia kuwa wazungu hawarogeki, Je hili lina ukweli?? Na kama wanarogeka ni njia gani za KUWAROGA kirahisi? maana mpaka hapo navyoandika uzi huu tayari nimeshalitia Shangazi lakiswidi mikononi mwangu, ila nahitaji niliongeze na dozi ya Ulozi juu ili niliongoze kama remote sababu madem waswidi sio rahisi kutoa maokoto, na nikimaliza kuliroga hili nataka nimroge na mtoto wake mkubwa ili asiniletee miyeyusho kwenye harakati zangu za kuchuma vibunda, kabla sijaamia kwa bosi wake na mdogo wake, kwa kifupi nataka cycle yake nzima niipige pigo kuu la kilozi ili nitawale himaya yake yote kama chifu lumanyika.