Nahitaji ubunge!

We mchakachuaji tu,HUTUFAI,unatafuta ajira?eti millioni 10?hebu maliza kwanza matatizo uliyonayo ndio uingie ktk mchakato kama mwana JF,,kama utaamua kwenda hvhv hutakuwa na tofauti na mafisadi,,,punguza shida zako
 
Du Hongera bwana mie nilijua unataka kwenda mjengoni kwa dhamira ya kuwakomboa wapiga kura wako? Kumbe umevutiwa na mshaara wa mil10? Khaa basi ni rahisi sana we kutuuza haufai hata kuwa monta wa darasani.
 
why only ccm ndo panifae kwani vyama vingine they dont take hiyo salary? mbona wameongezeana kimya kimya cjackia yoyote toka out of ccm akilalamika tumepewa hela nyingi???? thats why kama umesoma post yangu ukaelewa sitaki kupitia kwenye chama coz vyama vyote ni wanafiki tuu maslahi ya chama ndo wametanguliza mbele

Ahirisha kwanza zoezi lako la kutaka ubunge ila kazania mabadiriko ya katiba ili mgombea binafsi awepo, baada ya hapo rudi tena hapa kwa ushauri zaidi
 
je wewe ni jinsia gani?
kama ni mwanaume wasiliana na makanda wa m4c wakucheki kama si gamba.
ila kama ni wa kike jaribu kutembelea makao makuu ya ccm pale lumumba cheka na kila mtu na watakachokuomba kama hakipungui wape tu,hiyo itakusaidia kupata viti maalum.

Hapo kwenye blues, hio blue ya kwanza nadhani it should be both sexes, na blue ya pili inawezekana kuwa kweli kabisa (sina uhakika), ila inawezekana upo sahihi na ulichoandika kwa blue ya kwanza na ya pili, poa
 
Back
Top Bottom