EasyFit JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 1,269 Reaction score 1,082 Jul 15, 2014 #1 Nipo Dar kwa yeyote mwenye hiyo TV(mpya au used) iwe flat screen au chogo sawa tu almradi iwe katika hali nzuri, ofa yangu ni laki 2 hadi laki 3 kulingana na hali ya TV yenyewe. Asanteni.
Nipo Dar kwa yeyote mwenye hiyo TV(mpya au used) iwe flat screen au chogo sawa tu almradi iwe katika hali nzuri, ofa yangu ni laki 2 hadi laki 3 kulingana na hali ya TV yenyewe. Asanteni.
Dadio JF-Expert Member Joined Mar 14, 2012 Posts 359 Reaction score 42 Jul 15, 2014 #2 Ni pm nikupe flat screen mpya na box lake bei 300000. Singsung inch 22
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Jul 15, 2014 #3 Miyangu 32 inaitwa boss mpya 550,000 sipunguzi hata mia
EasyFit JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 1,269 Reaction score 1,082 Jul 16, 2014 Thread starter #4 Dadio said: Ni pm nikupe flat screen mpya na box lake bei 300000. Singsung inch 22 Click to expand... Asante ukipata 32'' au 30'' ni-pm wakati wowote.
Dadio said: Ni pm nikupe flat screen mpya na box lake bei 300000. Singsung inch 22 Click to expand... Asante ukipata 32'' au 30'' ni-pm wakati wowote.
EasyFit JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 1,269 Reaction score 1,082 Jul 16, 2014 Thread starter #5 zebanga watelanga said: Miyangu 32 inaitwa boss mpya 550,000 sipunguzi hata mia Click to expand... Duh!! sasa kiongozi kama hupunguzi hata senti nisemeje sasa, kama ukipata 32" ya laki 3 naku cash sasa hivi.
zebanga watelanga said: Miyangu 32 inaitwa boss mpya 550,000 sipunguzi hata mia Click to expand... Duh!! sasa kiongozi kama hupunguzi hata senti nisemeje sasa, kama ukipata 32" ya laki 3 naku cash sasa hivi.
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,745 Reaction score 6,656 Jul 16, 2014 #6 Mie ninayo Toshiba flat chogo inch 35 made in Japan for ulaya market ina toa picha quality kali mno,interested tuhamie inbox Sent from my iPhone using JamiiForums app
Mie ninayo Toshiba flat chogo inch 35 made in Japan for ulaya market ina toa picha quality kali mno,interested tuhamie inbox Sent from my iPhone using JamiiForums app
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,974 Reaction score 1,210 Jul 16, 2014 #7 zebanga watelanga said: Miyangu 32 inaitwa boss mpya 550,000 sipunguzi hata mia Click to expand... kaka unauza kila kitu, pc umeuza, kiatu unauza na leo tv. Okay mim niuzie modem tu.
zebanga watelanga said: Miyangu 32 inaitwa boss mpya 550,000 sipunguzi hata mia Click to expand... kaka unauza kila kitu, pc umeuza, kiatu unauza na leo tv. Okay mim niuzie modem tu.
zebanga watelanga JF-Expert Member Joined May 3, 2013 Posts 862 Reaction score 398 Jul 16, 2014 #8 Mkuu nauza mpaka suti modem natumia mkuu
EasyFit JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 1,269 Reaction score 1,082 Jul 18, 2014 Thread starter #9 Bado sijapata mwenye nayo ani PM.
DONALD JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 275 Reaction score 35 Jul 18, 2014 #10 IPO INCH 40 FLAT SCREEN SUMSUNG,price 800,000/-...